Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakishindana kucheza mziki wakati wa Famili day ya mamlaka hiyo iliyofanyika Kunduchi Beach Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania Charles Chacha akimkabidhi mmoja wa watoto aliyeshinda mbio za kukimbia na gunia wakati wa shereha za Family day ya mamlaka hiyo jijini dar es salaam
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania Charles Chacha akimkabidhi kikombe cha ushindi kepteni wa timu ya Kombaini ya Makao Makuu ya
TCAA Maria Mamba ambaye ni mwanasheria wa mamalaka hiyo wakati wa familly day iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa kikundi cha Kuchikuchi cha Mtongani jijini Dar es Salaam,Koni Diwani, katikati,Kesssy Sudi kulia na Papa Mkuru wakionyesha umahili wao wakucheza ngoma za asili wakati wa Familly Day ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, iliyofanyijika jijini Dar es Salaam
Matilida Temba (kulia) ambayeni mchezaji wa timu ya taifa ya Judo Tanzania akipambana na Richard Ndayulukiye ambaye nimfanyakazi wa TCAA ikiwa ni sehemu ya shamra shamara za Familly day ya Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania wakiwa katika hafla hiyo ya Familly day
Matilida Temba (kulia) ambayeni mchezaji wa timu ya taifa ya Judo Tanzania akipambana na Richard Ndayulukiye ambaye nimfanyakazi wa TCAA ikiwa ni sehemu ya shamra shamara za Familly day ya Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania(TCAA) Charles Chacha akihutubia wakatia wafanyakazi wenzake katika sherehe ya Familly day.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania,(TCAA) Charles Chacha. akimkabidhi nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya TCAA.baada ya kuishinda timu ya makao makuu.
No comments:
Post a Comment