Pages

Sunday, January 6, 2013

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais akagua uchimbaji madini

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula akizungumza na wanakijiji cha Marieni Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro alipokwenda kukagua Shughuli za Uchafudhi wa  Mazingira katika kjiji hicho jana.
 
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na Mkurugenzi wa Baraza la hifadhi na Usimamizi wa Mazingira {NEMC] Eng Benventure Baya na Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makmu wa Rais Dk Julias Ningu na Ofisa Mwandamizi Bw Timotheo Mande mara baada ya kutembelea Uchimbaji wa Madini ya Bauxite yanayochimbwa kwenye kijiji cha Marieni Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akiangalia Maadini Bauxite yanayochimbwa na kampuni ya Willy Enterprises alipokwenda kuangalia hali ya Uchafuzi wa Mazingira katika Kijiji cha Marieni Wilayani Same Mkoa waKilimanjaro.

No comments:

Post a Comment