Msanii wa vichekesho, maarufu Joti (katikati) akielekea katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam kushiriki mazishi ya Sajuki
Katika hali ya kushangaza Dada mmoja alitaka kwenda kushuhudia mazishi ya msanii, Juma Kilowoko (Sajuki) yaliyokuwa yanafanyika katika makaburi ya Kisutu ingali mila na tamaduni za Dini ya Kiislamu haziruhusu mwanamke kwenda kwenye amzishi, hapa anaonekana kwa mbali akipigwa picha baada ya kanga yake kuanguka aliyokuwa ameivaa
Banana Zoro akiwa ni miongozi mwa waombolezaji walioshiriki mazishi ya Sajuki
Banana Zoro akiwa ni miongozi mwa waombolezaji walioshiriki mazishi ya Sajuki
Mwanadada aliyetaka kushuhudia mazishi ya msanii Sajuki akielekezwa
Profesa J akielekea kwenye makaburi ya Kisutu
No comments:
Post a Comment