Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kutoa ushauri kwa kundi la
vijana 10 ambao baada ya kumaliza chuo kikuu wamejikusanya na kuunda
kikundi cha ujasiriamali mjini Igunga mkoani Tabora wakijishugulisha na Kilimo
Wananchi wakivuta katika sehemu
itayojengwa darala la kisasa la Mbutu la Igunga ambao ujenzi wake
umezinduliwa leo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, hatua ambayo itatatua
kabisa tatizo la miundombinu.
Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akijiunga na bendi ya Msondo
Ngoma kutumbuiza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa daraja la Mbutu la
Igunga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia mashine ya kuchimbia mashimo ya
nguzo za daraja na baadaye anakata utepe kuzindua ujenzi daraja la Mbutu
la Igunga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za
Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia mashine ya kuchimbia mashimo ya
nguzo za daraja na baadaye anakata utepe kuzindua ujenzi daraja la Mbutu
la Igunga
No comments:
Post a Comment