MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, September 29, 2014

SURA YA MAXIMO AWAPO UWANJANI WAKATI TIMU YAKE INAPOCHEZA



Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo akiwa katika pozi kabla ya mchezo wa Ligi Kuu kati ya Tanzania Prisons na Yanga uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, jumapili, aktika mchezo huo yanga iliibuka na ushindi wa goli 2-1, goli moja likiwa limefungwa na mchezaji aliyesajiliwa kutoka Brazili, Andrew Cotinoh na la pili likifungwa na mshambuliaji mwenye kasi, Simon Msuva

No comments:

Post a Comment