MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, October 30, 2014

BARABARA YA GARDEN AVENUE YAPEWA JINA JIPYA LA KIJERUMANI YAITWA, HUMBURG AVENUE

Kibao  kikionyesha jina jipya la Humburg Avenue, badala ya Garden Avenue, muda mfupi baada ya kuzinduliwa 

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi akizungumza katika hafla hiyo


Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kachanke akizungumza wakati wa hafla hiyo
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbele ya kibao kinachoonyesha, jina jipya la Barabara ya Garden Avenue la Humburg Avenue


Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi (katikati) akicheza ngoma

Msanii wa kundi la Majozi Theater, Neema Maganga akitumbuiza wakati wa hafla ya  kuzindua jipya la Barabara ya Garden Avenue na kuwa Humburg Avenue

Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kachanke akicheza ngoma na msanii wa kundi la Majozi Theater, Neema Maganga wakati wa hafla ya  kuzindua jina jipya la Barabara ya Garden Avenue na kuwa Humburg Avenue, Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment