MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, October 21, 2014

REDDS MISS TANZANIA 2014 SITT MTEMVU ASHINDWA KUJIBU MASWALI

Redds Miss Tanzania 2014, Sitt Mtemvu amekataa kujibu baadhi ya maswali yaliyozua utata katika ushindi wake wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, katika maswali ambayo waandishi walitaka kusikia kauli yake, kuhusu. jinsi alivyoshirikia katika kinyang'anyiro hicho akiwa ametumia cheti cha kuzaliwa kilichotolewa september tisa 2014 badala ya kutumia cheti kilichotolewa kipindi cha nyuma, katika majibu yake alisema cheti kilipotea kwasababu yeye huwa anasafiri sana, pia aliulizwa je kilipopotea cheti alitoa taarifa katika Kituo gani cha polisi hapo ndipo aliposema hawezi kujibu zaidi hayo
Picha ya pili ni Mama wa Redds miss Tanzania (mbele) akiongoza na Mtoto wake, Sitti Mtemvu na picha ya tatu ni Hashim Lundenga akionyesha baadhi ya vyeti vya washiriki wa

No comments:

Post a Comment