MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, October 23, 2014

WAZIRI WA TAMISEMI, HAWA GHASIA AZINDUA MKUTANO WA SABA WA MFUKO WA JAMII WA LAPF JIJINI ARUSHA


Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia akiwasili katika Mkutano Mkuu wa Saba wa Mfuko LAPF jijini Arusha katika Ukumbi wa AICC.


Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia akizindua Nembo mpya ya LAPF

Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia  akipongezwa na Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga


Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia akikabidhiwa zawadi na Mwenyekiti wa Bodi, Profesa Hassa Mlawa



No comments:

Post a Comment