MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, October 18, 2014

YANGA YASHINDWA KUIFUNGA SIMBA, KIPA MANYIKA PETER AIBUKA SHUJAA

kipa wa timu ya Simba, Manyika Peter (kushoto) akipongezwa na kipa wa Yanga, Deogratius Munishi baada ya kumalizika kwa  mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania  uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. timu zote zimetoka sare ya bila kufungana. katika michezo mingine iliyochezwa katika viwanja tofauti, Azam FC wameweza kuwafunga, Mbeya City bao 1-0 lililofungwa katika daki ya 18 ya mchezo na Agrrey Moris, mchezo huo ulichezwa katika Uwanja wa Sokonne jijini Mbeya na huko Mtwara katika Uwanja wa Nangwanda, JKT RUVU wameweza kwafunga wenyeji timu ya Ndanda FC bao 3-1 na katika mchezo mwingine uliochezwa katika Uwanja wa Jamhuri mjini Kasoro Bahari mkoani Morogoro kati ya Mtibwa Sugar na Polisi Morogoro, timu hizo zimetoka suru bin suru, Coast Union nayo imeibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Mgambo
 Kipa wa Siba, Manyika Peter akipongezwa na mashabiki wa timu hiyo baada ya mchezo kumalizika.
 Mashabiki wa Yanga
 Mashabiki wa Simba
 Shabiki wa Simba akionyesha bango linaloonyesha michezo iliyopita waliowahi kucheza na Yanga na kushinda
 Mpigapicha Mkuu wa Michuzi Midea Group, Othmani Michuzi akichukuwa matukio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania katika ya Simba na Yanga.


 Wacgezaji wa Simba wakipasha kabla ya mchezo
 Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo, akiwasalimia mashabiki wa timu hiyo
 Makocha wa yanga na Simba, Maximo (kushoto) akisalimiana na Patrick Phili kabla ya mchezo


No comments:

Post a Comment