MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, October 8, 2015

MIKUTANO YA BENKI YA DUNIA NA SHIRIKALA FEDHA LA KIMATAIFA YAENDELEA MJINI PERU-LIMA MIKUTANO YA BENKI YA DUNIA NA SHIRIKALA FEDHA LA KIMATAIFA YAENDELEA MJINI PERU-LIMA






Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa na Magavana  wa Benki ji Mkuu wa serikali akiwa na Magavana  wa Benkiya Dunia na Shirika la fedha la kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya kukuzauchumi katika mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma Oteh Makamu wa Rais na Mweka hazina.


Dk.Likwelile Katibu Mkuu Servacius wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa katika majadiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia  wa kundi namba 1 na           Servacius      Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa katika majadiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia  wa kundi namba 1               

No comments:

Post a Comment