MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, March 5, 2017

OPERESHENI YA POMPE KALI YA VIROBA YASHIKA KASI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba (katikati) akisisitiza jambo kwa Waandishi wa habari  wakati akitoa taarifa ya operesheni maalum ya kutokomeza pombe kali aina ya viroba mapema hii leo jijini Dar es Salaam. kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Mayungi na kushoto ni Kaimu Kamishna wa Polisi Lucas Mkondya


Baadhiya Maofisa wa Serikali na Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba wakati akitoa taarifa ya operesheni maalum ya kutokomeza pombe kali aina ya viroba  leo jijini Dar es Salaam.Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo

No comments:

Post a Comment