MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, January 9, 2018

RAIS JOHN MAGUFULI AKUTANA NA EDWARD lOWASSA IKULU



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais John Magufuli, akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa  baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment