MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, June 30, 2012

Matatizo ya Ardhi Busega

Mkuu wa Wilaya ya Busega, Paul Mzindakaya (kulia) na Mbunge wa jimbo hilo, Dk. Titus Kamani (kushoto), wakijadili jambo na wanavijiji kabla ya kutatua mgogoro wa ardhi wilayani humo, juzi.

No comments:

Post a Comment