Rais Jakaya Mrisho Kikwete
katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kimarekani na waalimu wao pamoja
na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa John Haule, Balozi wa Marekani nchini, Mhe na Balozi wa Tanzania nchini
Marekani, Mwanaidi Sinare Maajar. Wanafunzi hao wanachukua masomo
ya lugha ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Zanzibar ( SUZA). Walikuwa
wameongozana na watendaji wakuu wa Makampuni mbalimbali kutoka
Marekani walipomtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo. katika ziara yao ya siku kadhaa ya kuvumbua Tanzania
(Discover Tanzania VIP CEOs tour iliyoandaliwa na ubalozi wa Tanzania
Marekani
No comments:
Post a Comment