<center>amanitanzania</center>

Pages

▼

Wednesday, August 22, 2012

Bodi ya Utalii yakabidhi vyeti kwa walioitangaza Tanzania kupitia Utalii

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Aloyce Nzuki akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watu walioitangaza Tanzania kupitia Utalii baada ya kuwatunukia vyeti wakati wa hafla iliyofanyika, Dar es Salaam jana.  Wa kwanza kutoka Kushoto ni, Wilfred Moshi aliyeitangaza Tanzania kwa kupanda Mlima wa Everest, Juma Nugaz mtayarishaji wa kipindi cha Utalii cha Kambi Popote kinachorushwa na Clouds TV  na Respicius Baitwa ambaye ni Mtanzania wa kwanza kuweka rekodi ya Afrika kwa mwafrika wa kwanza anayetarajia kupanda vilele saba virefu Duniani

Murugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Aloyce Nzuki akizungumza wakati wa kukabidhi vyeti
Anthony Siame Saa 10:08 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.