Meneja Huduma wa Airtel Tanzania, Hilda Nakajumo (wa tatu kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wao wa makampuni, katika hafla ya futari waliyoiandaa kwa wateja hao, katika Hoteli ya Naura Springs jijini Arusha jana.
![]() | |
Baadhi ya wateja wa makampuni wa Airtel Tanzania wa Mkoani Arusha wakichota uji katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel Tanzania, katika Hoteli ya Naura Springs jijini Arusha jana. |
![]() |
Baadhi ya wateja hao wakichukua futari iliyoandaliwa na Airtel Tanzania kwa wateja wa makampuni jijini Arusha jana. |
No comments:
Post a Comment