Mchezaji wa timu ya kikapu ya, Kenya Pority Auma akimiliki mpira mbele ya
wachezaji wa tanzania wakati wa ufunguzi wa mashindano ya kanda tano
Afrika yaliyozinduliwa Dar es salaam jana kenya ilishinda 74 kwa 32
Mchezaji Gerald Baru wa Tanzania akimtoka Maunga Henry wa Uganda kwenye
mchezzo wa kikapu wa kanda ya tano uliochezwa uwanja wa ndani wa Taifa
jijini Dar es salaam jana jioni
No comments:
Post a Comment