Machinga akibubiri wateja wa kununu sare za Shule za wanafunzi, tayari kwa maandalizi ya Muhula mpya wa masomo kwa mwaka 2013 unaotarajia kuanza kesho kwa Shule za Sekondari na za Msingi
Mkazi wa jijini Dar es Salaa akielewana bei na Machinga ili amuuzie shati kwa ajili ya kijana wake anayetarajia kuanza muhula mpya wa masomo wa mwaka 2013. Shule zote kote nchini zitafunguliwa kesho tayari kwa Muhula mpya wa masomo
Gari lenye Kontena laziba Barabara ya Tandele Mtogole na kusabaibisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo jijini, Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment