Pages

Friday, January 25, 2013

Vurugu za gesi Mtwara

 
Mwandishi wa Chanel aumia katika vurugu za kgesi mtwara zinazoendela muda

 Askari wa kutuliza ghasia wakiwa tayari kutuliza fujo Mtwara kwa kile kilichoelezwa ni vurugu zinazoendelea za gesi
  
Inasemekana Nyumba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,\
Tawala na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia imepigwa mawe na kuvunjwa vioo na Mahakama ya Mwanzo kuchomwa moto na hivi sasa mabomu ya machozi yanaendelea kulindima  Mtwara Mjini hivyo Jeshi la wananchi limelazimika kuingilia kati kutuliza ghasia hizo, hizi ni habari zilizopatikana muda huu

No comments:

Post a Comment