MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, February 24, 2013

KIKOSI CHA YANGA KILICHOINYONG'ONYESHA AZAM FC

Kikosi cha timu ya yanga kilichoiondolea morali timu ya Azam FC wa kutaka kuongoza ligi Kuu Tanzania bara baada ya kukubali kichapo cha bao moja lililofungwa na mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Rwanda, Haruna Niyonzima kama anavyojulikana nchini kwao

 Hivyo ndivyo faida ya kuwa na mchezaji wa kigeni mbaye anaweza kuonyesha umuhimu wake wa kuwepo hapa nchini na kuafnya kile kitu kinachotarajiwa na mashabiki wa timu na wapenzi wa timu hiyo




No comments:

Post a Comment