Pages
(Move to ...)
Home
▼
Tuesday, March 5, 2013
MOTO WATEKETEZA GHALA UBUNGO DAR
Moto ukiwaka katika ghala la kuhifadhia bidhaa eneo la Shekilango Ubungo Dar es Salaam
Magari ya vikosi vya zimamoto yakimwagia maji ili kuzima moto huo
Vifaa vilivyokuwa ndani ya ghalahilo vikiwa vimeondolewa ndani baada ya kutokea moto
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment