Wanasheria wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Jaji Mstaafu, Ernest Mwaipopo
Ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu wakiaga mwili
Majaji wkitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu jaji mstaafu, Ernest Mwaipopo aliyefariki kwa ajaili ya gari mkoani Morogoro juzi. heshima za misho zimefanyika katika Ukumbi wa Karijee Dar es Salaam leo asubuhi na kuhudhuria na Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu, Othman Chande, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa Bunge, Anne Makinda na Waziri wa katiba na Sheria Mathias Chikawe, Majaji na viongozi wengine wa Serikali, jamaa ndugu na marafia
No comments:
Post a Comment