Pages
(Move to ...)
Home
▼
Friday, November 22, 2013
ZITTO KABWE AONDOLEWA UNAIBU KATIBU MKUU CHADEMA
Picha za Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Freeman Mbowe wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu uamuzi wa Kikao cha Kamati Kuu cha Siku mbili kilichofanyika jijini, Dar es Salaam. katikati ni Mwanasheria Mkuu, Tundu Lissu na Katibu Mkuu, Dk. Wilbroad Slaa.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment