Pages
(Move to ...)
Home
▼
Sunday, April 13, 2014
WASAFIRI WA MIKOANI WAKWAMA MTO RUVU
Msululu wa magari baada ya mafuriko katika Mto Ruvu mkoani pwani
Wasafiri wakitoka Mlandizi kuelekea katika Mto Ruvu ambao umeja na magari ya kwenda mikoani kushindwa kuvuka
Abiria waliokuwa wanatoka mkoani Morogoro kuelekea Dar es Salaam wakiwa Ruvu Darajani wakitafakari jinsi ya kuvuka
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment