<center>amanitanzania</center>

Pages

▼

Sunday, March 19, 2017

MASHINDANO YA GOF YALIYODHAMINIWA NA KAMPUNI YA BIMA YA BRITAM TANZANIA YALIVYOFANA

Veterani, Adamu Ngamilo aliibuka mshindi wa jumla wamashindano ya Gofu yaliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya Britam yaliyofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam kwa kuwashinda washiriki 100 walioshiriki katika mashindano hayo.
Akizungumuza baada ya kutoa zawadi Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Britam Tanzania  Steven Lokonyo  alisema kampuni yake itaendelea kudhamini mashindano hayo kila mwaka
Steven Lokonyo  aliendelea kusema kwamba pia kampuni hiyo ambayo ipo katika nchi ya Malawi, Uganda, Kenya na Mozambique pia inajishughulisha na udhamini katika michezo akitolea mfano udhamini wa timu ya soko ya Matathare united ya nchini Kenya inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo



 Adamu Ngamilo akikabidhiwa zawadi na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Britam Tanzania  Steven Lokonyo
 Mshindi wa jumlaAdamu Ngamilo






Baadhi ya washiri walioshiriki katika mashindano ya Gofu yaliyodhaminiwa na Kakampuni ya Bima ya Britam Tanzania kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam
Anthony Siame Saa 4:18 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.