Naibu Waziri Wa Maji, Amos Makalla, akizungumza eneo la Kimara, DaresSalaam baada ya kukamatwa kwa wezi wa Maji wanayoyatumia kufyatulia Tofali.
Naibu Waziri Amos Makalla, akizungumza eneo ambalo lilibainika kuna Bomba limekatwa na kutumika kuiba Maji kutoka kwenye Bomba Kuu la Dawasco
VIWANDA VIWILI VYA KUFYATU TOFALI VYAPIGWA STOP
VIWANDA VIWILI VYA KUFYATU TOFALI VYAPIGWA STOP
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla amesitisha shughuli za ufyatuaji Tofali kwa viwanda viwili jijini , DaresSalaam baada ya kubainika vinatumia Maji ya wizi
Makala aliagiza shughuli hizo kustishwa mara moja katika
Viwanda vya Kampuni ya Ujenzi ya Solution
cha Kimara jijini, DaresSalaam kilichokuwa kinazalisha matofari1000 kwa siku
na kile kilichopo karibu na Ofisi zaWizara ya Maji kijulikanacho kwa jina la Moto Company
Naibu waziri alivibaini
viwanda hivyo kwamba vinatumia Maji ya Wizi ya Dawasco wakati wa ziara ya siku
tatu aliyoianza leo ya kutembelea Vyanzo vya Maji na kukagua Matenki ya kuhifadhia
Maji na miradi inayomilikiwa na Dawasa
Makalla alisema Shughuli zote za ufyatuaji Tofali lazima zisimame kutokana na wamilikikutumia Maji yasiyolipiwa na kuunganishwa kienyeji kitendo
ambacho ni wizi na wanafaa kuchukuliwa hatua za kisheria
No comments:
Post a Comment