Mwanzo wa kuharibika kwa barabara unaanza hivi na wahusika wakiwa wanaipit kila siku, hapa ni katikati ya mitaa jijini Dar es Salaam.
Wauza madafu wakiwa kwenye Kivuko cha Magogoni wakitokea Kigamboni kuelekea Posta kwa ajili ya kutafuta ridhiki. ni hivi karibuni nauli ya kivuko imepandishwa kutoka Sh 100-200 kwa abiria na kwa baiskeli ni kutoka Sh 300- 1500. je kwa biashara hizi watakuwa wanapata faida
Mkazi wa Kigamboni akipanga Mihogo akiwa kwenye Kivuko cha Magogoni
Abiria wakiingia kwenye Kivuko cha Magogoni kuelekea Kigamboni
No comments:
Post a Comment