MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, January 19, 2012

 Rais Jakaya Kikweta akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu Regia Mtema
 Katibu wa CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akiweka shada la maua
 Jeneza likiwekwa kaburini

 Naibu Katubu Mkuu wa CHADEMA Zitto Kabwe akiweka Sahada la maua
Umati wa wakazi wa Ifakara waliohudhuria katika mazishi ya mareme Regia Mtema

No comments:

Post a Comment