MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, August 6, 2012

Kituo cha Mabasi ya Daladala cha Mikumi kikiwa kimeanguka

K
kituo cha mabasi ya Daladala eneo la Mikumi Dar es Salaam kiwa kimeanguka chini leo ikiwa siku ya Tatu bila kufanyiwa matengenezo na wahusika  

Pamoja na kuanguka kwa Kituo hicho cha mabasi ya Daladala shughuri za biashara zinaendelea kama kawaida kama inavyoonekanba katika picha  

No comments:

Post a Comment