![]() | |
kituo cha mabasi ya Daladala eneo la Mikumi Dar es Salaam kiwa kimeanguka chini leo ikiwa siku ya Tatu bila kufanyiwa matengenezo na wahusika |
![]() | |
Pamoja na kuanguka kwa Kituo hicho cha mabasi ya Daladala shughuri za biashara zinaendelea kama kawaida kama inavyoonekanba katika picha |
No comments:
Post a Comment