Pages

Monday, August 6, 2012

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) yaanza kutumia Mashine ya kugundua Mafuta yanayochakachuliwa

 Meneja Mawasiliano na Uhisano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Titus Kaguo (kushoto) akiwa katika Banda la Mamla hiyo kwenye maonyesho ya Nanenane katika Viwanja vya Nzuguni mkoani Dodoma
 MKuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano na Uhisiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Titus Kaguo (kushoto)alipotembelea Banda la Mamlaka hiyo kwenye maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni mkoani Dodomna
Add caption

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone akionyeshwa dawa ya kugundulia vinasaba katika mafuta aina ya Petroli na  mkaguzi Mkuu wa maswala ya Petroli wa mamlaka hiyo, Mhandisi Julius Gashaza (kulia) wakati alipotembelea Banda hilo kwenye maonyesho ya Nanenane, Kushoto ni Meneja Mawasiliano na Uhusiano, Titus Kaguo

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone akiangalia Mashine ya Kugundulia Vinasaba katika Mafuta wakati wa maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni mkoani Dodoma
 



Dk. Asha-Rose Migiro atinga Bungeni
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kushoto) akiingia katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Namelok, Sokoine nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiroa akifua na Mbunge wa Viti maalum, Rosemary Kirigini nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment