Wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa katika foleni ya kuchukua futari iliyoandaliwa na wabunge mashabiki wa timu hiyo
Add caption
Wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa katika foleni ya kuchukua futari iliyoandaliwa na wabunge mashabiki wa timu hiyo
Mwenyekiti wa wabunge mashabiki wa Yanga, Mohamed Misanga akimkabidhi Naodha wa timu hiyo,Haroub Nadir (Canavaro) Sh Milion mbili ikiwa ni mchango wa wabunge hao kama zawadi kwa wachezaji kwa kutwa kombe la Michuano ya Kagame iliyomalizika hivi karibuni
No comments:
Post a Comment