VETA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE DODOMA
Baadhi ya wakazi wa mkoani Dodoma wakiangalia viatu vinatengenezwa na wajasiriamali wa hapa nchini kwenye Banda la VETA katika maonyesho ya Nanenane yanayoendelea kwenye Viwanja vya Zuguni Dodoma
Meneja Uhusiano wa VETA, Grace Kabogo wa kwanza kushoto akipanga bihaa zilizotengenezwa na wajasiriamali kwenye maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Zuguni Dodoma
No comments:
Post a Comment