Pages

Friday, August 3, 2012

Ofisi ya Bunge kupitia kitengo cha habari yawafutulisha waandishi wanaolipoti habari za Bunge katika Mkutano wa nane wa Bunge la Bajeti unaoendelea mjini Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa wa Ofisi ya Bunge, Jossey Mwakasyuka akizungumza wakati wa futali iliyoandaliwa na Ofisi ya Bunge kwa wanahabari wanaoripoti habari za Bunge mjini ,Dodoma



 Baadhi ya waandishi wakishiriki katika futali


Waandishi wakishirikia katika Futari

No comments:

Post a Comment