Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Salma Kikwete (katikati) akiwa katika hafala ya kuzindua Mpango Kasi wa Uwezeshaji wanawake na wasichana uliofanyika, Dar es Salaam leo
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Salma Kikwete (kulia) akiwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro wakati wa uzinduzi wa Mpango Kasi wa Uwezeshaji wanawake na wasichana, uliofanyika leo Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment