Luteni
Paschatory Mabula, akiongoza kikundi cha kwanza cha gadi ya Jeshi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Anga Uwanja
wa Uhuru mjini Dar es Salaam
Rais
mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume (kulia) akisalimiana na Waziri Mkuu
mstaafu, Edward Lowassa
Baadhi ya waalikwa wakiwa katika maadhimisho hayo
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idii (kulia) akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Othmani Makungu
Rais wa
Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif
Shalif Hamad wa pili kutoka (kulia), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi
Seif Ali Idd na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Othmani Ramadhani Makungu wakiwa katika
maadhimisho hayo.
Msafara wa Rais Jakaya Kikwete akiyekuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ukiingia katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
Kikosi cha Jeshi la Anga kikiwa katika gwarideKikosi cha Jeshi la wanamaji kikiwa katika gwaride
Kikosi cha Jeshi la Polisi (FFU) kikiwa katika gwaride
Kikosi cha Jeshi la Magereza kikiwa katika gwaride
Wakuu wa mikao wenyeviti wa vyama vya siasa wakiwa katika maadhimisho
Viongozi wa
kiatifa wakimba wimbo wa Taifa. Kutoka kushoto, Rais mstaafu, Ali Hassani
Mwini, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, mke wa Rais
Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali
Mohamed Shein, Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali
Davis Mwamunyange, Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, Rais mstaafu Benjamin Mkapa na Mama Fatma Karume.
Baadhi ya mabalozi na wageni wengine wakishuhudia burudani
Vina wa halaiki wakiwa wametengeneza umbo la uwanja wa michezo
Ndege za kivita zikipita
vijana wa halaiki wakionyesha sarakasi
No comments:
Post a Comment