Mkurugenzi Mkuu wa Malcolm Schulz wa Babyshop akihojiwa na
waandishi wa habari katika uzinduzi wa Duka hilo jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
Mkuu wa BabyshopMalcolm Schulz akiangalia mitoyi ya dukani leo baada ya uzinduzi
Baadhi ya Wateja wakisubiri kulipia vitu mbalimbali walivyonunua kwenye Duka hilo la Babyshop
Wateja wakisubiria ufunguzi wa duka la Babyshop jijini Dar
es Salaam
Wazazi wakusubiria nje ya duka la babyshop na watoto wao
Mteja akiangalia nguo za mtoto wake ndani ya duka la
Babyshop
No comments:
Post a Comment