Wakazi wa mkaoni Dodoma wakiwa katika Viwanja vya Nzuguni kwenye Sikukuu ya Nanenane Kitaifa
Mashamba ya mfano yanayotunzwa na Jeshi la kujenga Taifa JKT
Hili ni Jokofu lililotengenezwa kwa kutumia miti na Mkaa likiwa kwenye maonyesho ya Nanenane katika Shambala Jeshi la kujenga Taifa, linaweza kuhifadhi ubaridi wa kutosha
Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi za Wizara hiyo wakiwa na kikombe cha ushindi wa pili kati ya Taasisi za Serikali zilizoshiriki maonyesho ya Nanenane kwenye Viwanja vya Nzuguni mkoani Dodoma
No comments:
Post a Comment