MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, August 8, 2012

Simba Day


Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geofrey Nyange Kaburu akimkabidhi Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe tuzo ya heshima kutokana na mchango mkubwa wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager katika mafanikio ya klabu hiyo. Tuzo hiyo ilitolewa jana wakati wa sherehe za siku ya Simba Day. Anayeshuhudia ni Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Profesa Philemon Sarungi. (Picha: Executive Solutions)

No comments:

Post a Comment