.Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akimiliki huku akizuia na beki wa Polisi
Moro Nahoda Bakari wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaa. Kwa matokeo hayo, Polisi Morogoro imeungana na timu ya Toto Afriacan ya Mwanza na Afriacn Lyon ya Dar es Salaam kushuka Daraja
No comments:
Post a Comment