Mratibu
wa Mpango wa kujitathimini na Utawala bora(APRM) kutoka makao Makuu ya Mpango
huo Afrika, Dk. Rachel Mukamunana akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar
es Salaam jana kuhusu Mkutano wa kuwafundisha maofisa wa Tanzania juu ya
kusimamia utekelezaji wa ripoti ya Utawala bora ya APRM. Kulia ni Katibu
Mtendaji wa APRM Tanzania, Rehema Twalib na kushoto ni Zemanay Lukuyi kutoka
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
No comments:
Post a Comment