Katibu Mkuu wa Riadhaa, Suleimani Nyambui akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa wodi ya watoto katika Hospitali ya Chalinze mkoani Pwani, matembezi hayo yatafanyika jumapili ya wiki hii yatakayoanzia eneo la ufukwe wa COCO . Katikati ni Mratibu, Anthony Nyakasanga kutoka Taasisi ya Hope Children ambao ni waandaaji wa matembezi hayo.
No comments:
Post a Comment