Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa (TLSB) nchini Dkt, Alli Mcharazo
(kushoto) akifanya makabidhiano na Mwakilishi wa serikali ya China
(kulia) Ling U leo jijinii Dar es salaam. ambapo Serikali ya watu
wa China wamekabidhii vitabu hivyo vya kusomea , komputa na mashelfu ya
kuwekea vitabu katika maktaba ya taifa ya vitabu nchini (TLSB)
No comments:
Post a Comment