Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO
Shekh Farid Hadi Ahmed, akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakama ya
Mwanakwerekwe kwenda kusomewa mashtaka yanayomkabili ikiwemo la kusababisha
fujo na uchochezi.
Gari la Polisi la pili ambalo
liliwachukuwa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO ambao walishitakiwa kwa makosa ya
kufanya fujo na uchochezi likiwa linasindikizwa na magari ya Polisi kwenda Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe.
Askari wa kikosi cha kutuliza
ghasia wakiwa wanaimarisha usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya
Mwanakwerekwe ambapo Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO walipelekwa kwenda kusomewa
mashitaka yao.
No comments:
Post a Comment