Mbunge
wa Viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Dk. Mary
Mwanjelwa (CCM), akiwa amepumzishwa katika
Hospitali teule ya Ifisi iliyopo Songwe wilayani Mbeya vijijini,
kufuatia ajali hiyo.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Abbas Kandoro akimjulia hali.
Haya ndiyo
masalia ya gari yenye namba za usajili T.
671 ABM aina ya Toyota Ranger mali ya mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya Dk. Mary
Mwanjelwa baada ya kuteketea kwa moto kufuatia iliyotokea Mbalizi jana
No comments:
Post a Comment