Katibu Mkuu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Sheikh Khamis Mataka akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa Tamko la Taasisisi hiyo kuhusiana na vurugu za kidini zilizotokea, Zanzibar na Dar es Salaam hivi karibuni
Katibu Mkuu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Sheikh Khamis Mataka akisisitiza jambo wakati wa kutoa Tamko hilo na kusema kwamba kuna umuhimu wa kuheshimu mamlaka kabla ya kufanya jambo lolote
Lowasaa azindua maonyesho ya Vikundi vya kukopa na kuweka vya VIKOBA
Lowassa akishangiliwa na baadhi ya wanachama wa vikundi wa vya kuweka na kukopa vya VIKOBA Dar es Salaam baada ya kuzindua maonyesho ya miaka kumi vikundi hivyo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam
Lowassa akicheza pamoja na wanavikundi hao muda mfupi baada ya kuzindua maonyesho ya miaka kumi ya VIKOBA
Hatimaye Mwandishi wa Gazeti la Mtanzania, Mohamed Mharizo aachana rasmi na ukapera
Bwana Harusi, Mohamed Mharizo akiwa na Mkewe, Muhiba Pandu Haji katika Ukumbi wa Al-Hilal wakati wa Sherehe iliyofanyika baada ya kufunga ndoa mjini Zanzibar siku ya Ijumaa wiki hii
Wapambe wa Bwana harusi, kutoka kushoto, Majuto Omari, Elias Kambili na Kambi Mbwana wakiwa katika Sherehe hiyo jijini Dar es Salaam leo
Bwana Harusi, Mohamed Mharizo, na Bibi Harusi, Muhiba Pandu Haji wakiwa katika Picha ya Pamoja. Kulia ni Zayituni Kibwana na kushoto ni Hadia Khamis
Bwana Harusi, Mohamed Mharizo akiwa na Mkewe, Muhiba Pandu Haji
Ndugu jamaa na marafiki wa Bwana Harusi Mohamed Mharizo wakiwa katika Picha ya pamoja
Bwana na bi harusi wakiwa na nyuso za furaha
No comments:
Post a Comment