Mfungaji wa goli pekee wa timu ya Uganda, Geofrey Kizito akishangilia
Shabiki wa timu ya Taifa ya Uganda na kilema aliyelala chini wakingalia timu yao
Mashabiki wa timu ya Uganda wakishangilia goli pekee lililofungwa na Geofrey Kizito wakati wa mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Cecafa Chalenji 2012
Mashabiki wa timu ya Uganda wakishangilia goli pekee lililofungwa wakati wa mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Chalenji 2012 dhidi ya timu ya Kenya uliofanyika katika Uwanja wa Mandela nchini Uganda
No comments:
Post a Comment