Mbunge wa Nzega, Dk Khamis Kigwangalla akikabwa na wachezaji wa timu ya Jukwa la Katiba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma, jana kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kutoa maoni ya katiba mpya
Katibu wa Bunge Sports Club ambaye ni Naibu Waziri, Habari, Vijana utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiongozana na wachezaji wa timu ya Jukwa ka Katiba muda mfupi baada ya kumalizika kwa mchezo huo
Timu ya Bunbe Sports Club na Jukwa la Katiba wakisubiri kugaguliwa kabla ya kuanza kwa mchezo huo
Benchi la timu ya Jukwa la Katiba wakifuatilia mchezo huo
No comments:
Post a Comment