MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, April 19, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA WAFANYABIASHARA NA WENYE VIWANDA WA UTURUKI

Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara na wenye viwanda la Uturuki (TUSKON)  Rizanur Meral na ujumbe wake  leo April 19, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment