MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, March 5, 2012

Studio mpya ya kusafisha Picha imefunguliwa

Habari njema kwa wapigapicha kuna Studio mpya ya Mtanzania na ambaye yupo katika fani ya picha amejitahidi na kufungua Stuo ya Kisasa ya kusafishia Picha so tumuunge mkono
ipo katika wa Mtaa wa Jamhuri na Upanga hapa Azam Take Away.
karibuni sana.

No comments:

Post a Comment